EXTRA BONGO
Bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ikifanya makamuzi katika ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar. Ijumaa hii inatarajia kuzindua ukumbi wake wa kisasa pale Kimara uitwao Bongo Resort zamani White House. Itasindikiwa na kundi la wakata nyonga la Baikoko, msanii Tunda Man, Husein Machozi na Shetta.

No comments:
Post a Comment