

Kampuni ya simu za mikononi ya TIGO wikiend iliyopita ilifanya bonge la tamasha katika ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es Salaam.Tamasha hilo lilienda sambamba na kutangaza huduma mpya kibao kama vile Internet, matumizi ya face book sms na nyingine kibao kutoka Tigo ambazo ziliwabamba vilivyo wananchi.
No comments:
Post a Comment