Saturday, June 9, 2012

WASICHANA JIFUNZENI KUTAFUTA HELA KWA JASHO LENU:NEYMARIETH GENES

Sister duh maarufu Bongo Dar es Salaam Neymarieth Genes 21 ambae ni mfanyabiashara wa Kimataifa amewatolea uvivu wasichana mbalimbali nchini kwa kuwaambia wajifunze kutafuta pesa kwa jasho lao badala ya kusubiri mwanaume kumpa pesa za matumizi.
Akionge na blog hii Ney alisema wakati umefika sasa kila msichana awe mbunifu wa kutafutaa hela kwa kufanya kazi mbalimbali zikiwemo biashara, na hali hiyo italeta heshima kubwa kwa mwanamke wa kitanzania" Na hata kipindi hiki hakuna mwanaume anaetaka mwanamke mzigo wanaume wote wanataka mwanamke mchakalikaji na sio kutegemea kuletewa" Alisema mrembo huyo ambae ni mtoto wa Kigogo.

No comments:

Post a Comment