Tuesday, June 19, 2012

WADAU WA UMISS WANAPOKUTANA

Rais wa shindano la Miss Utarii Tanzania Gideon Chipungahelo (Chips) Kulia, akiwa na mwandaaji wa Miss Tanzania Bagamoyo Dada Awetu ndani ya ofisi za Gazeti pendwa la Sani na Blog hii hivi karibuni.Chips alielezea nia ya kuunda umoja wa waandaaji wa tasnia ya umiss Tanzania.

No comments:

Post a Comment