Monday, June 25, 2012

OMOTOLA NDANI YA BONGO

Demu anayewika katika filamu za Kinaijeria Omotola (kushoto) ametua Bongo kwa mwaliko wa Miss Tanzania 2006/07 Wema Sepetu. Hapa alikuwa akiingia kwenye Bonge la Pati lililokuwa limeandaliwa na Wema katika Hoteli ya Giraffe jijini Dar

No comments:

Post a Comment