Wednesday, June 6, 2012

MAMBO YA FILAMU YA DIRTY GAME ZENJI

Wasanii wanaotarajiwa kushiriki bonge la filamu liitwalo Dirty Game Mchezo Mchafu inayoandaliwa chini ya Director Maarufu nchini Tuesday Kihangala 'Mr Chuzi' kwa kushirikiana na msanii wa kike wa filamu Bongo Mariamu Mndeme 'Mamushka' wakiwa visiwani Zanzibar ambako baadhi ya vipande vya filamu hiyo.Kwa mujibu wa Mundeme muvi hiyo itatikisa Bongo na East Africa kwa ujumla. Isubiri mdau wangu muda mfupi tu itakuwa sokoni.Kwa sasa hebu cheki muvi ya TATAKOA AMBAYO INATISHA SI KITOTO.......

No comments:

Post a Comment