Tuesday, June 19, 2012

KARIBU NDANI YA QUEEN ZUZY PUB



Mnenguaji nyota wa bendi ya FC Academia Queen Suzy (Suzy Crayz) anawakaribisha wadau woote katika Pub yake iitwayo Queen Suzy Pub iliyopo ubavuni mwa baa ya Mango Garden Kinondoni jijini Dar.


"Kila kinywaji kinapatikana hapa.Pia tuna bites za kufa mtu.Hiki ndiyo kiota kipya cha burudani pande hizi za Kinondoni.Masupastaa kibao wanakusanyika hapa kuanzia jioni.Jamani njooni mniunge mkono" alisema mkata mauno huyo mwenye mvuto wa kipekee.Demu huyo alidai yeye ni jembe kwa kustrago kimaisha.Hata hivyo anahitaji sapoti sana kutoka kwa wadau.


JAMANI TWENDE TUKAMUUNGE MKONO MWENZETUUUUUU


No comments:

Post a Comment