HAPA MDAU WENU KUSHOTO NIKIWA NA CLASSMET WANGU GOIMA MWAMWINGILA DIE G
Jamani wadau huyu jamaa wa kulia anaitwa Goima Mwamwingila (Die G) ni Classmet wangu sec pia tumekuwa naye kitaa kimoja Kihonda Morogoro.Tumeshirikiana kwa mengi sana.Dah.Hapa tulikuwa Coco Beach
No comments:
Post a Comment