Mwanamuziki maarufu nchini Judith Wambura 'Lady Jaydee a.k.a Binti Machozi' akiongoza wasanii wa bendi yake ya Machozi wakati ikitumbuiza ndani ya ukumbi wa Nyumbani Lounge hivi karibuni.Ukumbi huo wa kisasa upo maeneo ya Best Bites Namanga unamilikiwa na Jide mwenyewe.Yaani humo no full raha.Kila kitu unapata.Twende wadau tumuunge mkono dada yetu.
No comments:
Post a Comment