Monday, May 21, 2012

NDANDA KOSSOVO AREJESHA HESHIMA

Mwanamuzi wa siku nyingi Ndanda Kossovo 'Kichaa' akivamia jukwaa sambamba na wanamuziki wa bendi yake ya Watoto wa Tembo.Bendi hiyo ilifanya onesho lake jana sambamba na bendi ya Mashujaa Musica.

No comments:

Post a Comment