Saturday, May 19, 2012

THE MBON TALK SHOW YAJA WADAU MKO TAYARI?

Mjasilia mali maarufu Bongo Mboni Masimba (kulia) akiongea na mapaparazi (hawapo pichani) kuhusu kuanzisha kipindi chake cha The Mboni Talk Show kitakachorushwa kupitia kituo cha runinga cha East Africa (Channel 5).Kushoto ni Director wa kipindi hicho na prodyuza maarufu Bongo George Otieno 'Tyson'.Mkutano ulifanyika Dar es Salaam Serena Hotel zamani Moven Pick

No comments:

Post a Comment